Msaada: Nipo Mwanza nahitaji kufahamu wapi naweza pata vifaa vya kupambia Keki!

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Swalaaamaa!!

Nataka kuanza kuwa mjasiriamali wa kutengeneza keki kuziremba na kuziuza

Sasa naomha mnifahamishe wapi naweza pata Yale mapambo ya kupambia keki kwa hapa Mwanza??

Niliangalia tutorial video YouTube nikaona wanakamua vitu kama chocolate kutoka kwenye vidude flani na keki inarembeka kweli kweli sasa nauliza wapi naweza pata haya mapambo?

Watu wa Mwanza mnijuze.
 
mkuu usiwe mvivu nenda pale muamed kuna Duka kubwa la hayo Mambo pia watengenezaji wa keki ni wengi mjini watafute ujifunze kitu kwao pia wanaweza kukuelekeza bure bila malipo cha muhimu uwe mdadisi na charming usikamie sana kuwa researcher.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…