Natoa mchango wangu kwa SOCIAL MEDIA tuu, kama ifuatavyo:-
1. JF ndiyo namba moja kwa upande wa blogs na website hapa Tanzania
2. Kwenye social media yapo makundi mawili:-
a. Kundi la watu wanaotumia social media kama kwa starehe, ku socialize, n.k e.g Instagram, twiter n.k, wapo wadau kibao mfano ROSE NDAUKA nimeona anatangaza sana kwenye instagram na gazeti lake.
b. Kundi la apps (application za simu) zinazotumika na watanzania kupata huduma mbalimbali k.v kazi, nyumba, usafiri, tickets na suggest
Grab! city info Co. (cheki instagram page kupitia ID hii:
grabcityinfo) wana apps zinazotumiwa na watu mbali mbali hasa vijana na wageni wa nchi mbali mbali, so ikiwa target customers wako ni vijana na foreign nationals basi hapo ndipo penyewe.
c. Kundi la brokers wa social media. Hawa ni wadau wanafanya matangazo kupitia social media na wateja wao ni makampuni makubwa makubwa tuu, kama vile Voda, Airtel n.k. Ni PM nikupe details zao.
Pamoja