Msaada nisome nini kati ya ARCHTECTURE ,PHARMACY NA GEOLOGY msaada wakubwa

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
Ipi iko more valuable na nikafanyakazi vizuri
 
me cjakuelewa hiyo ni masters au degree wamekupangia hvo? Binafsi arch ndo mpango mzm
 
Zote ni nzuri, ila nzuri zaidi ni ile unayoipenda zaidi.
 
kwan wewe unapenda ipi kat ya hizo? zote zinalipa ila soma kitu unachopenda itakua vizuri zaid!!
 
geology ndo mpango mzima utakula bata milele
 
Ipi iko more valuable na nikafanyakazi vizuri

ktk maisha kuangalizia sio kosa kama ilivyo madarasani,kaa angalia maisha ya hao watu wa namna hiyo then ukiona wanavyoishi most of them ndo uamue unataka kua kama hao ama la!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…