Msaada: Nissan Bluebird Sylphy

Msaada: Nissan Bluebird Sylphy

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Habari wakuu ninaomba msaada wa kuzijua hizi gari za nissan bluebird kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare parts nimeona bei inaridhisha nikaona nije kwa wataalamu kwa ushauri zaidi ahsante.
Screenshot_20191108-103732_Chrome.jpg

Engine size: 1490cc
Screenshot_20191108-103732_Chrome.jpg
Screenshot_20191108-103732_Chrome.jpg
Screenshot_20191108-103741_Chrome.jpg
 
jaribu kuulizia ushuru na kodi ni ngapi maana inafika 12M hadi unaishika Jipange usije kuiacha bandarini
 
Kuna fundi mmoja nimeongea nae anasema spareparts ni ghali sana na zinasumbua kupatikana hadi Nairobi na huwa nissan zina ugonjwa wa kuchemsha
 
Kuna fundi mmoja nimeongea nae anasema spareparts ni ghali sana na zinasumbua kupatikana hadi Nairobi na huwa nissan zina ugonjwa wa kuchemsha
Hawa mafundi wa miembeni ukiwasikiliza utaishi kununua TOYO...
Spea za nissan sisi mbona tunanunua kama nyanya sokoni..?? Nairobi labda body parts.
 
Back
Top Bottom