chukua mzigo spare zipo tena GenuineJumla hadi kuishika inaenda 12.5m naona sio mbaya
Hawa mafundi wa miembeni ukiwasikiliza utaishi kununua TOYO...Kuna fundi mmoja nimeongea nae anasema spareparts ni ghali sana na zinasumbua kupatikana hadi Nairobi na huwa nissan zina ugonjwa wa kuchemsha