Wataalamu wa magari naomba msaada wa kitaalamu, nina gari tajwa hapo juu, ni mara yangu yakwanza kuimiliki sasa umefika wakati nahitaji kubadilisha hydrauric ya gia box, niliponunua na kumpelekea fundi hakuona koki kwa ajili ya kudrain ile ya zamani na hapo ndipo nikaanza kuuliza wengine, fundi mmoja akasema gari hizo huwa hazibadilishiwi oil ya gia, mwingine akasema nitoboe tundu chini kwenye sampo niweke bolt, mwingine akasema legeza main pipe na uwashe gari yaani mpaka hapa
View attachment 438870sijaelewa nifanye nini?