Msaada:Nissani cube 3 inavuma sana na haitaki kuachia gia

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello Gentleman ,naombeni msaada wenu please. Nina Gari aina ya Nissan cube 3 kuna saa inafika mahali inavuma sana haitaki kuachia gia kabisa inaweza kuchukua kama dk tatu mpaka 7 ndio inaachia ,nini tatizo waheshimiwa?
 
Ulishawahi Fanya sevisi ya giabox
 
Gear box au diff kuna mahali hapako sawa. Sikiliza muungurumo huo uko sehemu gani kati ya hizo sehemu mbili.
 
Mara ya mwisho kubadilisha oil ni lini? Kama ulibadilisha hivi karibuni basi ujue converter imekufa...
images
 
Back
Top Bottom