Msaada: Nitapata wapi Oat Arusha?

Msaada: Nitapata wapi Oat Arusha?

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
2,926
Reaction score
3,530
Nimetafuta masokoni kama kilombero na soko kuu sijafanikiwa kuipata
 

Attachments

  • 1538238671169.png
    1538238671169.png
    54.1 KB · Views: 91
Supermarket nyingi hapo Arusha inapatikana. Ikiwa katika makopo ya kilo moja. Na bei ni takriban Shilingi 7, 500 hivi kwa kopo moja. Kama nimekuelewa vizuri kwa unachokiulizia.
 
Back
Top Bottom