Babu sea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 953
- 747
Ninamfahamu Lista kama mwanamuziki mkongwe wa Tanzania lakini hivi sasa anaishi Japan, anajihusisha pia katika shughuli za uandishi wa vitabu mbalimbali vya muziki.
Ameeandika vitabu vinavyo husu maswala mbalimbali kama vile upigaji wa kinandaupigaji wa gitaa n.k
Nimevitafuta sana hivyo vitabu online bila mafanikio na nimevitafuta kwenye baadhi ya bookshop za hapa Dar sijavipata naomba kama kuna mtu anayejua upatikanaji wake aweke hapa chini.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.