Msaada : Nitapataje airbags za gari aina ya rav 4

Msaada : Nitapataje airbags za gari aina ya rav 4

jacobcm8

Senior Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
173
Reaction score
122
Wataalamu nna gari yangu iligonga mti airbags zilipasuka hasa kwenye steering ndio imeharibu show mana imechana honi haipigi tena
steering nimeulza ni 200k
Je airbags znapatikana? mana steering nzima ila airbags ndio shida?

IMG_20170718_173751.jpg
IMG_20170718_173751.jpg
IMG_20170718_173751.jpg
DSC03624.JPG

Sent from Siemens Social Phone
 
Chukua matupo puliza,weka sehemu husika kisha ziba na kitambaa laini.
Hahaha mkuu natania tu ila niliwahi sikia ishu ya airbags ni sensitive sana.Mafundi wake wachache sana
 
Mie niliwahi kusikia kwa fari kama Toyota ni lazima uende Toyota Tz ambao wapo a bit expensive. Ila kama kama kuna mtu mwingine atakuja na maoni mengine haya. Ila uelewa wangu ndio huo
 
Chukua matupo puliza,weka sehemu husika kisha ziba na kitambaa laini.
Hahaha mkuu natania tu ila niliwahi sikia ishu ya airbags ni sensitive sana.Mafundi wake wachache sana
[emoji2] ngoja nipulize maputo ngoma ikae mkao.

Sent from Siemens Social Phone
 
Mie niliwahi kusikia kwa fari kama Toyota ni lazima uende Toyota Tz ambao wapo a bit expensive. Ila kama kama kuna mtu mwingine atakuja na maoni mengine haya. Ila uelewa wangu ndio huo
daa ikiwa na mlolongo itabd ninunue steering wheel mpya tu

Sent from Siemens Social Phone
 
Pole sana kw ajali kaka.
Airbag module naeza kuuzia na pia reset ya computer au kufuta fault code na kuzima taa ya ABS kw dash. Pia yaweza hitaji tuweke Steering Wheel Spool mpya.
Wasiliana nami kw inbox tuyagange.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay bro

Sent from Siemens Social Phone
 
Back
Top Bottom