Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nataka aiseee,nina kijikovu pajani huwa kinaninyima raha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo mpwa.....mimi ni mtaalamu wa kuyafuta makovu kwa mikono kama chaki kwenye ubao.....hasa hayo yaliyokaa mapajani huwa hayasumbui kabisa.....
Duh.....Na mimi nataka aiseee,nina kijikovu pajani huwa kinaninyima raha sana.
Kovu lako la aina gani? Lile la mikunjo au ngozi kupauka? Kwasababu mimi niliwahi kuungua 7yrs ago kovu linafutika lenyewe taratibu.Naomba kujua daktari anaeweza kufuta kovu la kuungua kwa moto