Msaada: Nitapataje daktari wa kufuta kovu lililosababishwa na moto?

Sijui. Sina uhakika. Ila India nilijionea madawa yakiuzwa pharmacy zao yanayoweza kufuta makovu ndani ya Miezi mi3 na zingine Miezi 6
 
Nenda CCBRT wasipokusaidia watakupa ushauri
 
Na mimi nataka aiseee,nina kijikovu pajani huwa kinaninyima raha sana.
 
Njoo mpwa.....mimi ni mtaalamu wa kuyafuta makovu kwa mikono kama chaki kwenye ubao.....hasa hayo yaliyokaa mapajani huwa hayasumbui kabisa.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba kujua daktari anaeweza kufuta kovu la kuungua kwa moto
Kovu lako la aina gani? Lile la mikunjo au ngozi kupauka? Kwasababu mimi niliwahi kuungua 7yrs ago kovu linafutika lenyewe taratibu.
 
Njoo PM mimi ni mtaalamu wa kufuta makovu kutoka Bongo Movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…