Msaada: Nitatoa wapi PreP?

young baba tz

Senior Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
100
Reaction score
138
Wakuu salama!

Jana kwa bahati mby nmegegeda askari flani iv sasa simwamini kivile nahisi kaungua nmepga viwili tu nmemwambia kupima ety ananiambia kila mwez wanapima ila hta sasa Ypo Tayar jaman msaada naacha umalya Huyu katoka depo juz juz ila kakondaaa kwl
 
PrEP hupati hivhvi tu. Nenda kituo cha afya ukapime kwanza then kama hauna (virusi havijaonekana kwa wakati huo ) ndiyo utaandikiwa dose!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…