claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 437
NotedKwa kuanzia anza na app za masuala ya Udaku utapiga sana pesa bongo
Nime ku pm mkuuMkuu njoo dm tuyajenge mm naweza wekeza hela na idea then ww unatengeneza faida tutadiscuss namna ya kugawana
Nina app za mda mrefu .. naamni baadae zitakuja kuniingizia pesa ila nataka ambayo ita click ndani ya mda mfupiHapo kwenye baada ya muda mfupi
App au project ya technology inahitaj muda wa kukua kabla ya kuingiza hela..
sasa ukisema unahitaj app ambayo itaingiza hela baada ya muda mfupi mmmmhhh..
au muda mfupi huo ni muda gani..
miezi 3, mwaka, miaka 5 au 10.
Unaweza kuzitaja hizo za muda mrefu ulizo nazo?Nina app za mda mrefu .. naamni baadae zitakuja kuniingizia pesa ila nataka ambayo ita click ndani ya mda mfupi
RentalUnaweza kuzitaja hizo za muda mrefu ulizo nazo?
Unaweza kuweka link please.Rental
Reading books
Restaurant
Kutokana na maelezo yako nakushauri tengeneza App ya video za X ziwe kali viewers ni uhakikaWakuu kwema?
Mimi ni full stack developer nataka nitengeneze mobile app ili niweze kupata hela baada ya mda mfupi
Naombeni mawazo yenu
Azam wanayoFanya app ya miamala. Itayofanya miamala yote. Ni unaweka hela tu unatuma popote. Utapiga hela kote