Habari jf doctor
Naomba msaada wataalamu, nimekuwa nikipitia mabadiliko ya sauti
kwa sasa sauti yangu imezidi kuwa ndogo, bass linatoka ni kukoroma tu hata utoe sauti mita haivuki kusikika zaidi ya 20m
sijajua sababu ni nini kupelekea tatizo hili maana inaemekea miezi 5 hali ya sauti inadhoofu na ukizingatia sijapatwa na ugonjwa wala kuumwa chchote kwa muda wa takribani miaka 10
naombeni msaada tiba, nifanye nini nipate kuondokana na tatizo hili?