msaada, nitumie nini sauti irudi katika hali ya kawaida

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,659
Habari jf doctor

Naomba msaada wataalamu, nimekuwa nikipitia mabadiliko ya sauti

kwa sasa sauti yangu imezidi kuwa ndogo, bass linatoka ni kukoroma tu hata utoe sauti mita haivuki kusikika zaidi ya 20m

sijajua sababu ni nini kupelekea tatizo hili maana inaemekea miezi 5 hali ya sauti inadhoofu na ukizingatia sijapatwa na ugonjwa wala kuumwa chchote kwa muda wa takribani miaka 10

naombeni msaada tiba, nifanye nini nipate kuondokana na tatizo hili?
 
Kabla ya kuwaza mbali, nikupe uzoefu wangu, hii hali iliwahi kunitokea kipindi fulani baada ya kutafuta sana sababu ni nini( chakula, vumbi, vinywaji, hali ya hewa) nikajakugundua ni kwa sababu nilikuwa silali muda wa kutosha. Lilinianza nikiwa chuo kukesha sana, nalala kidogo mchana usiku nakesha, ila baada ya kutoka chuo, likaanza kuisha taratibu mpaka sauti ikawa kawaida.
Sasa wewe anza na hilo pamoja na vile nilivyoweka kwenye mabano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kama kuna dawa ulizo/unazotumia kwa miaka mingi sasa nazo inabidi uzifikirie. Kuna baadhi ya dawa huathiri kidogo homoni mwilini kasauti kanaanza kuwa kembamba halafu kadogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…