Twins love
Senior Member
- Jan 27, 2022
- 114
- 160
Wapendwa habari zenu, Nimegundua kuwa sipendezi kabisa kuvaa suruali na sketi fupi na magauni ya kubana kutokana na mwili wangu ,baada ya kugundua hili ninacomfidance ya kuvaa nguo za kumwaga, lakini ninapata wakati mgumu , kutoka out nashindwa nivae nguo gani ili nisionekane Kama naenda kanisani au msikitini ,ushauri wenu ,pia ikiwezekana wenye picha tumeni aina ya nguo ambazo nahis naweza vaa kwa nyakati nilizotaja.
Napokea ushauri
Napokea ushauri