Twins love
Senior Member
- Jan 27, 2022
- 114
- 160
Naona Kama vigauni naonekana kidogo Kama mtoto maana Sina mwiliVigauni mchanuo afu vifupi na kiatu kirefu vitakufaa kama upo shapeless
Hahahaha Asante n wapiNjoo dukani kwangu ,tunavalisha mpaka watu wanang'aaa
Hahahaha Asante n wapi
Bas vaa gauni ndefu mbwago kidogo.ikubane tumbo then iachie kwenda chiniNaona Kama vigauni naonekana kidogo Kama mtoto maana Sina mwili
Ni wa size gani mpaka unashindwa kuvaa aina fulani za nguo?Wapendwa habari zenu, Nimegundua kuwa sipendezi kabisa kuvaa suruali na sketi fupi na magauni ya kubana kutokana na mwili wangu ,baada ya kugundua hili ninacomfidance ya kuvaa nguo za kumwaga, lakini ninapata wakati mgumu , kutoka out nashindwa nivae nguo gani ili nisionekane Kama naenda kanisani au msikitini ,ushauri wenu ,pia ikiwezekana wenye picha tumeni aina ya nguo ambazo nahis naweza vaa kwa nyakati nilizotaja.
Napokea ushauri
Ukidondosha Kitu Chini Utaokotaje Na VigauniNaona Kama vigauni naonekana kidogo Kama mtoto maana Sina mwili
NakaziaPicha kwanza
Bas vaa gauni ndefu mbwago kidogo.ikubane tumbo then iachie kwenda chini