wida JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 247 Reaction score 40 Mar 24, 2015 #1 Naombeni mnisaidie tiba ya kuongeza shahawa na mbegu kuzalishwa kwa wingi. Nawaombeni kam sio tiba hata mawazo.
Naombeni mnisaidie tiba ya kuongeza shahawa na mbegu kuzalishwa kwa wingi. Nawaombeni kam sio tiba hata mawazo.
S sverige JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 417 Reaction score 176 Mar 24, 2015 #2 Kula gomba au miraa kwa jina lingine
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,152 Mar 24, 2015 #3 wida said: naombeni mnisaidie tiba ya kuongeza shahawa na mbegu kuzalishwa kwa wingi, nawaombeni km c tba hata mawazo Click to expand... Zikiwa nyingi inasaidia nini?
wida said: naombeni mnisaidie tiba ya kuongeza shahawa na mbegu kuzalishwa kwa wingi, nawaombeni km c tba hata mawazo Click to expand... Zikiwa nyingi inasaidia nini?
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Mar 26, 2015 #4 wida said: Naombeni mnisaidie tiba ya kuongeza shahawa na mbegu kuzalishwa kwa wingi. Nawaombeni kam sio tiba hata mawazo. Click to expand... Tiba ya kuongezaShahawa ipo nionemimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
wida said: Naombeni mnisaidie tiba ya kuongeza shahawa na mbegu kuzalishwa kwa wingi. Nawaombeni kam sio tiba hata mawazo. Click to expand... Tiba ya kuongezaShahawa ipo nionemimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
GANJA ROLLER JF-Expert Member Joined Sep 8, 2014 Posts 709 Reaction score 273 Mar 26, 2015 #5 Karanga,mihogo mibichi,supu na ugali wa dona