Mkuu njia za kufanya Utafiti ziko Nyingi sana na Moja ya sorce za Kupata Inforamation ni kupitia
1. Wateja mbalimbali wanano tumia bidhaa kama unazo taka kuanzisha
2. Maonyesho ya Biashara unaweza kutana na watoa huduma au wazalishaji kama wewe
3. Makala mbalimbali
4. Ofisi za Serikali, Hapa utapata ni kampuni ngapi mpka sasa zimepewa leseni kufaya hiyo biashara?
5. Kuwafesi wafanya biashara Moja kwa Moja na kuingia kama Mteja,
6. Kutuma mashushu,
7. Kununua baadhi ya Wafanyakazi wa hizo kampuni ili wakupe information
8. Kama ikwezekana unaweza hata Omba kazi hapo ilimuradi upate unacho kitafuta
9. Kupitia Matangazo yao ya Biashara Redion, kwenye TV, kwenye Magazeti na kazalika
10. Kuwa mmoja wa wanunuzi wa hiyo product, mfano unataka kufanya biashara ya kufuga kuku na unataka kujua wenzanko wanafanyaje, basi anza kwa kununua bidhaa za Competitors wako na hapo utaweza pata baadhi ya Info