Msaada: Njia ipi ni rahisi na haraka kwa ajili ya kutuma pesa Malawi kwenda Tanzania?

Pweza Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
1,395
Reaction score
3,177
Ukiacha Airtel money transfer ambayo kwa zaidi ya siku tatu inasumbua, njia ipi ni nzuri zaidi kutuma pesa toka Malawi kuja Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama u ayemtumia hela ana kadi ya mpiga kura basi ni rahisi zaidi, anaenda kuzitolea crdb
 
Tumia swiftcode either ya nmb, crdb NBC na n.k piga huduma kwa wateja ya bank tajwa hapo juu watakupa maelekezo vizuri.
Au unaweza kutumia western union ni easy kidogo.
Au tumia local broker wapo kila nchi wanakutumia kwa tigo pesa /mpesa pia Hawa wanachokifanya sender ambaye yupo malawi anawapa Cash then wanawasiliana na agent wao Tanzania ambaye yeye atakumia kwa simu..
Ukishindwa kabisa kabisa basi tumia njia ya mababu zetu njia ya bus la falcao express pesa hije kwenye baasha 😀😊

Niete #Mr_Alternative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…