Habari wakuu,
Nimesikia kuna njia mpya na ya kisasa ya kutairi watoto wa kiume kwa kutumia vifaa maalum na nimesikia kwamba mgonjwa anapona kwa muda mfupi zaidi kulinganisha na njia ya zamani na bila mgonjwa kuumia zaidi.
Kwa anayefahamu je ni kweli? ni salama? na kwa DSM inapatikana wapi? na Gharama zake zikoje ? (NB kijana wa miaka 10 anayetakiwa kutibiwa).