Habarini Wadau,
Ninaomba kufahamishwa ni taasisi ipi au bank gani inayoweza kunikopesha mkopo wa kuanzia Tsh.mil 10 au zaidi endapo nina Assets zisizohamishika (nyumba na mashamba) tena mjini.
Nakumbuka miaka kama miwili iliyopita nilikuwa free zaidi na nilienda kwa afisa mkopo wa CRDB akaniambia hawatoi mkopo mkubwa hivyo kwakuwa tu nina Asset mpaka niwe na biashara inayoingiza hela kila mwezi continuously na mkopo wanaoanzia kutoa ni mil 2 tu.
NAOMBENI SANA MNISAIDIE KWA HILI KWA ANAYEJUA UTARATIBU.