Tangawizi ina accelerate vidonda vya tumboUsipoteze muda na jivu. Kunywa au tafuna tangawizi kila asubihi au kila dakika 10 kabla ya mlo wowote.
Kunywa maji mengi kisha njoo nipe jibu baada ya juma 1.
Yap ni hospital iko njombe maketeNimeona jina Consolata!! Lilikuwa jina la demu wangu[emoji24]
Naongea kitu ambacho nimekitumia.Tangawizi ina accelerate vidonda vya tumbo
Tangawizi ina accelerate vidonda vya tumbo
Uwe unatumia kijiko cha asali asubuhi na jioni kila siku hilo tatizo litaisha lenyeweInasaidia lkn si sana mkuu. Nimewahi tumia hii kitu.
Hahahkila baada ya msosi jitahidi kulamba jivu..halafu usipende shinda njaa na punguza makande maana huko ndo maeneo yake
Omeprazole si ya vidonda vya tumbo??
Hiyo Typhoid uliitibu pia?Baada ya kulalamika kwa muda mrefu kuhusu vidonda vya tumbo nilihamua kwenda hospital yenye vipimo vinavyoweza kuonyesha tumboni vidonda vya tumbo vimenihathiri kwa ukubwa gani [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mrejesho wadau
Nilifanikiwa kwenda hospital moja ipo Njombe Makete inaitwa ikonda,nikapima vipimo kama inavyoonekana kwenye atachment hapo chini,ila sasa baada ya kupimwa kile kipimo cha camera ya kuingizwa tumboni kikaonyesha kwenye utumbo hakuna vidonda wala michubuko,lakini nikamuhuliza doctor sasa mbona tumbo uwa linaniwaka moto sana mbaka nakosa raha akanijibu kwamba inaonekana mwili wangu unazalisha sana Acid ndo inafanya tumbo liwake moto,nikapewa mavidonge lakini nimeyatumia sijaona utofauti nimerudi kwenu kuomba ushauri nitumie njia ipi kuzuia mwili wangu usizalishe Acid kwa wingi??View attachment 1093132
Aixe walinipa dawa nyingi ila za typhoid nilizozizoea zile za kama cipro zikuziona,nikifika nyumbani nitapiga picha ile kalatasi iliyoandikwa dawa natumaHiyo Typhoid uliitibu pia?
If yes, niambie ulitumia dawa gn
Mkuu hebu nunua MucogelBaada ya kulalamika kwa muda mrefu kuhusu vidonda vya tumbo nilihamua kwenda hospital yenye vipimo vinavyoweza kuonyesha tumboni vidonda vya tumbo vimenihathiri kwa ukubwa gani [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mrejesho wadau
Nilifanikiwa kwenda hospital moja ipo Njombe Makete inaitwa ikonda,nikapima vipimo kama inavyoonekana kwenye atachment hapo chini,ila sasa baada ya kupimwa kile kipimo cha camera ya kuingizwa tumboni kikaonyesha kwenye utumbo hakuna vidonda wala michubuko,lakini nikamuhuliza doctor sasa mbona tumbo uwa linaniwaka moto sana mbaka nakosa raha akanijibu kwamba inaonekana mwili wangu unazalisha sana Acid ndo inafanya tumbo liwake moto,nikapewa mavidonge lakini nimeyatumia sijaona utofauti nimerudi kwenu kuomba ushauri nitumie njia ipi kuzuia mwili wangu usizalishe Acid kwa wingi??View attachment 1093132
Nina hili tatizo pia, vipi kiongozi ushapata suluhu?Baada ya kulalamika kwa muda mrefu kuhusu vidonda vya tumbo nilihamua kwenda hospital yenye vipimo vinavyoweza kuonyesha tumboni vidonda vya tumbo vimenihathiri kwa ukubwa gani [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mrejesho wadau
Nilifanikiwa kwenda hospital moja ipo Njombe Makete inaitwa ikonda,nikapima vipimo kama inavyoonekana kwenye atachment hapo chini,ila sasa baada ya kupimwa kile kipimo cha camera ya kuingizwa tumboni kikaonyesha kwenye utumbo hakuna vidonda wala michubuko,lakini nikamuhuliza doctor sasa mbona tumbo uwa linaniwaka moto sana mbaka nakosa raha akanijibu kwamba inaonekana mwili wangu unazalisha sana Acid ndo inafanya tumbo liwake moto,nikapewa mavidonge lakini nimeyatumia sijaona utofauti nimerudi kwenu kuomba ushauri nitumie njia ipi kuzuia mwili wangu usizalishe Acid kwa wingi??View attachment 1093132
Njoo pmNina hili tatizo pia, vipi kiongozi ushapata suluhu?
Limao Lina citric acid sio alkaline mkuu ni weak acid hivyo ukitumia inakuzidishia tatizo sio kukusaidiaDawa nzuri ni ile inayobadiri asidi kuwa alkaline.
Fanya hivi kila asubuhi kabla hujala chochote chukua bilauli kamulia limao moja kisha ongeza Maji kidogo kunywa.
Limao ikifika tumboni inabadiri asidi kuwa alkaline