Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Wakuu miaka michache iliyopita huko niliwahi pata idea kazaa ya biashara kuhusu teknolojia, sanyansi na Sanaa. Hivyo nimeamua kuchukua hatua Kwa kuanza na teknolojia ni simple idea lakini naona itakua na manufaa Kwa watu wengine.
Hivyo katika kupangilia jambo nimekutana na kipengere Cha jinsi ya kushare mafile mwanzo niliona nearby share inaweza kua msaada lakini kwasasa nimeona wameamua kuja na quickshare njia ambayo Kwangu mm inanisumbua hivyo wakuu.
Naomba mnisaidie njia ambayo itanifanya niitumie memory card kwenye simu mbalimbali bila kuformat pale ambapo nitaiweka kwenye simu nyingine hususani ni Kwa simu ambazo hazi support OTG