Msaada:Njia za kuandaa harambee ya fundrising

Msaada:Njia za kuandaa harambee ya fundrising

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Amani iwe kwenu wakuu.
Mwezi mmoja ulipita nilikuja kuomba ushauri ili niweze kujiari.Nilikua mwajiriwa wa kampuni binafsi sasa nataka kujitegemea kwa kufanya biashara ile ile km ya mwajiri wangu ila nataka kuimodify zaidi.
Sasa nina natafuta mtaji,staki nichukue mkopo kwa sasa,nataka niandae harambee ya kuchangisha pesa ili ninunue operating equipment.
Nina project mbili lakini ni biashara mbili tofauti lakini zote ni food processing business.
Kuna PM nyingi sana nimepata kutoka kwa wadau wanataka ushirika na mimi,baadhi nimewajibu lakini wengine sikuweza.Sikuwajibu kwa sababu natakiwa niandae mazingira kwanza ya awali ili kuwa na picha nzuri ya biashara.
Sasa naomba kujuzwa njia za kufuata wakati wa kuandaa harambee.Nina mpango wa kualika mkuu wa mkoa,wilaya,Mbunge na pia watu wakubwa wakubwa,hii ni plan yangu nitaifanya baada ya kusajiri kampuni na kuwa na viable business plan,nilijaribu kumtafuta mmbunge wangu nilipiga simu mpaka basi haikupokelewa,nikaona isiwe shida ngoja nipange fundrising harambee labda nikimkaribisha atakuja
Nataguliza shukrani
 
Back
Top Bottom