Msaada: Njia za kuongeza au kunenepesha mwili


Vp kama nataka kuongeza kiungo kimoja tu
 

Hahahaaaaa, hizo pesa za kula zipo...?
 
Kama unataka kunenepa anza dozi ya uroho kula kutwa mara 8 jitahidi kuhudhuria kwenye mashughuli baada ya mwezi 6 njoo!
 
sijawahi kumwona alshababu mnene kama yupo mnisadie picha.
sasa huyu anataka unene wa nini?
 
Nenda Hospitali kamuone Daktari atakupa dawa ya kuongeza kiungo kimoja. Umekusdia kiungo gani vile unataka kuongeza?Mkuu ofisa

ndushalele,au mpini au ukuni
ndio amekusudia
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mzizi ooh Mungu I hope this will work daah nimechoka mifupa
 

Mzizimkavu hapa ni vipi kuhusu BP
 
Asante sana mzizi ooh Mungu I hope this will work daah nimechoka mifupa
Fuata huo ushauri wangu utanenepa na pendelea kula vyakuala vyenye mafuta mengi na usiwe na mawazo na wakati wa usilku mwingi kula kisha ulale hapo hapo utanenepa ninakutakia Good Luck.

Mzizimkavu hapa ni vipi kuhusu BP
Blood Pressure ndio nyumbani pake unauliza jibu wakati mtu anataka maradhi mpatie tu maradhi Kwani Hospitali zimewekewa na nani? Pasipo na Wagonjwa Madaktari watakula wapi? Pasipo na wezi,Majambazi,wala Rushwa,Mafisadi Vituo vya Polisi vitakuwa vipo wazi na Mahakimu watakuwa hawafanyi kazi yoyote ile.Tumbo lako lisipo kuuma hutaweza kula? Mwache apamie vyakula anenepe na sisi tunaye tangazia Dawa zetu za kukondesha tupate wateja.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Dokta umenchekesha sana. yani kweli dunia msongamano. Wengine wanataka kupungua..wengine kuongezeka. Haya dokta subiria wagonjwa
 

shukran sana mkuu imenibidi niandae baje ya vyakula hivyo..

shukran mtoa mada pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…