Msaada: Njia za kuongeza au kunenepesha mwili

Ni bajeti yake ni mshahara wa mwezi mzima
 
Kama unautaka unene tafuta faraja ya moyo basi kama ni pesa basinuwe nayo,kama furaha yako kutembea basi tembea moyo ukiridhika na akili utanenepa ila kama una stress hata ule nini hutonenepa
 
Weight gain is not good mkuu maana utatengeneza mazngira mazur ya kisukari, magonjwa ya moyo
 
mi natamani kua slim,,nipungue kidogo lakini mazoezi yananitoa nishai.
na chakula nacho wali napata shida kuuacha
 
Yamenikuta! Sasa hivi nimekuaje kibonge sasa nahangaika kukonda ila wapi [emoji23][emoji23][emoji23].
 
mi natamani kua slim,,nipungue kidogo lakini mazoezi yananitoa nishai.
na chakula nacho wali napata shida kuuacha
Aisee kunenepa nirahisi kuliko kupungua, yaani ni mtihani kweli kweli.
 

NImekudharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…