Msaada, Nkana FC huwa wanavaa jezi gani ugenini?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
NkanaFclogo.png

Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.
 
View attachment 974303

nasikia wanavaa njano iliyochanganyika na kijani😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom