MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hata Biashara United mashabiki waliwakuta Taifa dhidi ya Timu ya WananchiHata Mbabane mashabiki waliwakuta
Injinia soma ubao Simba 3-0 NkanaView attachment 974303
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.
hamna kitu hapo, Nkana tissha sanaInjinia soma ubao Simba 3-0 Nkana
Hata Biashara United mashabiki waliwakuta Taifa dhidi ya Timu ya Wananchi
ahhha hhhahaHata Mbabane mashabiki waliwakuta
Acha roho ya kichawiUnaeza kwenda hata bila Jezi zao kama mi nitakavyofanya ilimradi tu tukawashangilie Nkana. [emoji41][emoji41][emoji126][emoji126][emoji126]
Haijalishi. Bora niongeze Idadi ya wenye roho za kichawi. ππππAcha roho ya kichawi
Injinia soma ubao Simba 3 - 0 NkanaHaijalishi. Bora niongeze hiyo Idadi ya wachawi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Naona umeanza kuweweseka Mtani. Magoli hayaingiagi kirahisi hivyo afadhali ungesema kamoja hata ningekuelewa ila tatu. Hapana.Injinia soma ubao Simba 3 - 0 Nkana
nasikia wanavaa njano iliyochanganyika na kijaniπππππππππππView attachment 974303
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.
Tuombe uzima kesho siyo mbaliHahahaaa. Naona umeanza kuweweseka Mtani. Magoli hayaingiagi kirahisi hivyo afadhali ungesema kamoja hata ningekuelewa ila tatu. Hapana.
Sio mbali kabisa yamebaki masaa kadhaa tu.Tuombe uzima kesho siyo mbali
Nimeandika jina lako pembeni ili nisikusahauSio mbali kabisa yamebaki masaa kadhaa tu.
Mm binafsi kesho ntakuwa NkanaUnaeza kwenda hata bila kuvaa Jezi zao kama mi nitakavyofanya ilimradi tu tukawashangilie Nkana. [emoji41][emoji41][emoji126][emoji126][emoji126]