Msaada: NMB bonus account

Msaada: NMB bonus account

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Naombeni ushauri kwa waliotumia/wanaotumia hii account... nimesoma vipeperushi vyao ikanivutia pia wamesema haina makato ya mwezi.... kabla sijaanza kuitumia ninaomba uzoefu wenu... ahsanteni.

fake ID
 
Last edited by a moderator:
Naombeni ushauri kwa waliotumia/wanaotumia hii account... nimesoma vipeperushi vyao ikanivutia pia wamesema haina makato ya mwezi.... kabla sijaanza kuitumia ninaomba uzoefu wenu... ahsanteni.

fake ID

nikweli haina makato lakini faida majanga bola iwekeze katika biashara zako ili ikuzalishie lakini huko mhh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom