Naombeni ushauri kwa waliotumia/wanaotumia hii account... nimesoma vipeperushi vyao ikanivutia pia wamesema haina makato ya mwezi.... kabla sijaanza kuitumia ninaomba uzoefu wenu... ahsanteni.