Msaada: NMB Mkononi App inanigomea

Simu zenu zina matatizo, mbona App iko fresh tu. Jaribu kucheki kama simu yako iko rooted, then unistall root. Weka off Developer huko setting kama iko On.
... kuwa "rooted" ndio nini mkubwa? Ilikuwa jukumu la NMB kuelimisha wateja.
 
Naomba msaada nikilog in kweny account yangu ya NMB mkononi inakuja haya maneno
Na app ina closeView attachment 2696082

... sio wewe tu mzee; ni kila mtu ana-face hilo tatizo karibu mwezi sasa baada ya ku-update hiyo app. Halafu wahusika wako kimya as if nothing happened!

... watumie wateja wote sms kuwajulisha hivyo!

... nimeachana na USSD na APP yao tangu app ilipozingua. Naendaga ATM.

Kwangu hata kuinstall tu inakataa... nasikia kuna maboresho wamefanya .naona wameharibu kabisaa...kila mtu analalamikaa

... and yet they are so quite as if nothing happened! Tangu uongozi wa juu waachiwe ngozi nyeusi ovyo kabisa!

Nenda kwenye simu yako hafu weka OFF Developer Options.

Ata mi nilisumbuliwa ivo ivo ila sahivi fresh.

Simu zenu zina matatizo, mbona App iko fresh tu. Jaribu kucheki kama simu yako iko rooted, then unistall root. Weka off Developer huko setting kama iko On.

... kuwa "rooted" ndio nini mkubwa? Ilikuwa jukumu la NMB kuelimisha wateja.

Mkuu hii developer option naipata sehem gani
madmax
NMB Tanzania, wateja wenu wamevurgwa kuhusu app yenu yet you are quite! Toeni ufafanuzi namna ya kuondokana na kadhi hii.
 
Pengine jaribu kutumia network provide wa mtandao uliosajilia NMB mobile kwa upande wa data.
 
... sio wewe tu mzee; ni kila mtu ana-face hilo tatizo karibu mwezi sasa baada ya ku-update hiyo app. Halafu wahusika wako kimya as if nothing happened!
Hata Mimi nimeambiwa niende ofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…