Nina shida ya kucontact na watu wa Customer Care Nmb mobile,sijui namba yao ya cm. Currently huduma yangu hii imefungiwa due to PIN code problem. Ninaambiwa walishanitumia PIN code nyingine,which I have never seen it. Msaada kwa anayeijua please anipe