Nashukuru BinMgen. Links hizo mbili nimezishughulikia. Link ya kwanza imenipeleka kwenye web ambayo ina hatua tano za kufuata. Kwenye hatua ya nne inatakiwa ku-upload app ili iweze kusainiwa online, nimefanya hivyo lakini nimekuwa nikipata 'verification code error' hatua ya tano ni ya kudownload 'S603rdSigner' ambayo haikufanya kazi.
Nimejaribu link ya pili na kudownload apps nilizotumia kuhack simu yangu, na hakuna tena tatizo, kwani nimeinstall apps kama apache http server, tracert, windows 95(symbian version) etc.