Habari za wakati huu wakuu, poleni na miangaiko ya hapa na pale, kama isemavyo kichwa cha habari hapo juu ni ningependa kujua kama kuna tofauti kati ya hizo vipimo nilivyoandika hapo juu. Na kama kuna tofauti ningependa kujua ni kipi nikienda kupima kitaonyesha magonjwa yote yaliyoko mwilini mwangu. Pia ningependa kujua gharama za hizo vipimo na je ukishapima majibu yanachukua muda gani kutoka.
Mungu awabariki