patrickcharles
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 534
- 285
Habarini wanajamvi..,
Poleni na kazi na mhangaiko ya kila siku. Kama nilivyoonesha kwenye heading ya huu uzi, naomba kama unajua link au kitabu nitakapo pata notes nzuri za Advanced Mathematics unisaidie.
Natanguliza shukrani kwa msaada wako.