patrickcharles JF-Expert Member Joined May 22, 2013 Posts 534 Reaction score 285 Apr 1, 2015 #1 Habarini wanajamvi.., Poleni na kazi na mhangaiko ya kila siku. Kama nilivyoonesha kwenye heading ya huu uzi, naomba kama unajua link au kitabu nitakapo pata notes nzuri za Advanced Mathematics unisaidie. Natanguliza shukrani kwa msaada wako.
Habarini wanajamvi.., Poleni na kazi na mhangaiko ya kila siku. Kama nilivyoonesha kwenye heading ya huu uzi, naomba kama unajua link au kitabu nitakapo pata notes nzuri za Advanced Mathematics unisaidie. Natanguliza shukrani kwa msaada wako.