Msaada: ntaonaje nafasi za kaizi kupitia daily newz online

pisces

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
240
Reaction score
61
daily newz hawatoi zile vacancy wanazotangaza kupitia gazeti lao online, labda ni site gani ambayo naweza ona kazi zitangazwazo kupitia daily newzz... kwa mfano kazi za the guardian nazipata kupitia zoom,na wanajitahidi kuupdate mara kwa mara... hii ni katika harakati za kuepukana na gharama za kununua magazeti daily... si unajua huu msimu wa tusio na ajira mifuko ni mikavu hadi aibu....
nisaidieni katika hilo na ningependa kupata site ambayo inakua currrent mara kwa mara... shukran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…