Msaada: Nyoka wananimalizia mayai ya kuku wangu

Mkuu unapatikana mkoa gani kwanza maana hao nyoka wanafaida sana kuliko hayo mayai ebu niambie unapatikana wapi nikupe dili la nyoka!
 
Hilo litakuwa joka la kibisa
 
Unawezaje kugundua idadi ya nyoka kwenye eneo lako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kugundua kiukweli..ila ni mara chache sana eneo la nyumbani kuwa na nyoka wengi.. Kwa kawaida anaweza akawa mmoja au wawili tu(dume na jike) ata wakizaa au kutotoa vile vitoto vinaenda kutafuta maisha mbali na hapo

Pia inategemea na mkoa uliopo..
 
Mjomba huyo ni nyoka mtu anayeishi hapo shamba....otherwise atakuwa ni kenge siyo nyoka huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yai ukilitoboa tu linaliwa na kuku.. sasa ukiweka sumu kwenye yai basi umetega kuku wako mwenyewe
 
Yai ukilitoboa tu linaliwa na kuku.. sasa ukiweka sumu kwenye yai basi umetega kuku wako mwenyewe
Mkuu kama ukitoboa ni lazima kuku uwafungie kwanza eneo lingine mpaka yai limezwe. Ila pia ukilichemsha ndiyo imara kabisa maana haliyeyuki. Ni lazima afe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…