Frank mtanganyika
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 497
- 785
Point of correction contemporary sio Kwa ajili ya sehemu yenye mvua chache ni utaalamu mbovu wa kujengaMkuu contemporary kabla hujaijenga ilibidi uangalie site yako kama inareceive high rainfall maana itakusumbua sana hizi ni kwa ajili ya sehemu yenye mvua chache pia mafundi wanaoziwezea wako wachache sana inabidi hapo utafute fundi expert sio kila fundi anaweza kuzijenga
Unaweka na tiles kabisa....ili isiweke ukungu ndani ya nyumba.Ila natamani kujua, hizi nyumba inawezekana juu badala ya bati nikaweka Zege?
Aah bana eeh utajijua mwenyewe banaUsiseme fuata mkumbo..kwani kitu kizuri si kinaonekana asa wewe utakalia design ya zamani kisa kuna changamoto kwenye design mpyaa..hakuna changamoto isiyotatulika kwenye ujenzi,acha uoga!
Kama unataka kuweka zege juu msingi uwe imara. Msingi legelege hautahimili uzito wa zege.Ila natamani kujua, hizi nyumba inawezekana juu badala ya bati nikaweka Zege?
Changamoto ya Hizi nyumba ni kuvuja sana.
Binafsi zizipendelei sana.
NYUMBA NI BATI.
Unaweka na tiles kabisa....ili isiweke ukungu ndani ya nyumba
Kama unataka kuweka zege juu msingi uwe imara. Msingi legelege hautahimili uzito wa zege.
Mizote ni bati tuuMimi Huko nishapita Twin nataka aina mpya!!
Contemporary nadhani mafundi wetu hapa bongo hawana utaalamu sana kwenye kuezeka, kuna fundi alitujengea tulimtoa Msumbiji, ana utaalamu wa hali ya juu na anasema alijifunzia kuzijenga South Africa, ni miaka zaidi ya sita tangu atujengee nyumba haijawahi kuvuja wala hatujawahi kukutana na hiyo keroNilikuwa nazipenda sana nyumba za aina hii hadi nilipojionea kwa ndugu yangu.
Nyumba imeezekwa lakini inavunja sana Pembeni mwa mabati.
Afanyeje ili isivuje?
N.B: Pembeni ukuta umechimbwa ili kuingiza bati na kuzibwa kwa cement ya water proof.
Tatizo ni kwamba hatuna mafundi wabobezi wa ujenzi wa hizo nyumba, ndio maana zimegeuka kuwa janga especially upande wa roofing, ila ukipata fundi mtaalamu ni nyumba nzuri sana na hutajutaKigamboni ndo kuna hilo balaa..watu fata mkumbo sana
Mkuu nitafutie huyu fungi.Contemporary nadhani mafundi wetu hapa bongo hawana utaalamu sana kwenye kuezeka, kuna fundi alitujengea tulimtoa Msumbiji, ana utaalamu wa hali ya juu na anasema alijifunzia kuzijenga South Africa, ni miaka zaidi ya sita tangu atujengee nyumba haijawahi kuvuja wala hatujawahi kukutana na hiyo kero
Cha msingi mtafute fundi mwenye utaalamu akusaidie kurekebisha
Alisharudi msumbiji lakini nadhani makazi yake ni South Africa, hapa bongo alipata tenda ya kujenga nyumba ya tajiri mmoja alipomaliza tukamdaka akatujengea, kwa hiyo tulipomaliza nae contract aliondoka, ukitaka unaweza kumpata lakini gharama ya kumtoa kule ni kubwa tofauti na sisi tulimdaka akiwa hapahapa bongoMkuu nitafutie huyu fungi.
Wapo wataalamu ila bei[emoji848]Tatizo ni kwamba hatuna mafundi wabobezi wa ujenzi wa hizo nyumba, ndio maana zimegeuka kuwa janga especially upande wa roofing, ila ukipata fundi mtaalamu ni nyumba nzuri sana na hutajuta
Asili ya hizi nyumba sio msumbiji, kwahiyo asia, europe, na usa wameiga msumbiji?Asili ya nyumba hizi ni kutoka msumbiji na ndio maana zikaitwa msumbini style, kwa kifupi tu hali ya hewa ya msumbiji kwa mwaka upokea mvua za wastani tena hunyesha kwa vipindi ndani ya msimu hivyo basi kwa mfumo wa nyumba hizi kwa maeneo kama hayo yenye mvua chache huwa hazina shuda sana ya kuvuja.
Kinachotuponza sisi wabongo ninkupenda vya nafuu na hii nikutokana uchache wa bati na mbao zinazotumika katika kujenga nyumba hizo ili hali kwa nature ya mvua za Tanzania ni majanga kwa nyumba hizi.
Kwani haziwezi kuhimili kiwango cha maji mengi kitokana na ufinyu wa slope yake na na jinsi zinavyojengwa kwa aina ya mtindo wake wa kupenyeza bati kwenye ukuta.
🤣🤣🤣Europe kuiga Msumbiji!Asili ya hizi nyumba sio msumbiji, kwahiyo asia, europe, na usa wameiga msumbiji?