Msaada: Nywele zangu ni nyekundu

Msaada: Nywele zangu ni nyekundu

richie hassan

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Nywele zangu ni nyekundu sana nahitaji kujua ni mafuta gani ambayo nikitumia yatafanya nywele yangu kuwa Black na yenye kung'ara sana.

Msaada.
 
Kama ingekuwa rahisi tungemuuliza mzee wetu namba 3 maana kila nikimuona kwanye TV nywele zake black iliyokoza.

Huyo angetupa msaada lakini siyo rahisi kumfikia.
 
Back
Top Bottom