cute mimi22
Member
- Nov 13, 2016
- 46
- 19
AsanteChukua kitunguu maji saga vizuri upate kitu kama juisi changanya na mafuta ya Zaituni(olive) au mafuta ya nazi orijino kwa uwiano utakaoona unafaa kisha tumia kupaka nywele zako!
Vingnevyo muone mtaalam wa masuala hayo...
Source: threads za JF.
AsanteTumia mafuta ya nazi origino...
Tafuta wenye uweledi na mambo ya nywele wakuelimishe dawa nzuri ya kutumia
Asante kwa ushaurAcha kuweka dawa kabisa zirudi hali yake natural then weka dread