Msaada: O.B.D (On Board Diagnostic) ni wapi wanatoa mafunzo kuhusiana na hiki kifaa?.

Msaada: O.B.D (On Board Diagnostic) ni wapi wanatoa mafunzo kuhusiana na hiki kifaa?.

NDUKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3,422
Reaction score
2,418
Salaam zenu wakuu.................ningependa kujuzwa sehem wanayotoa mafunzo kuhusiana na ufundi huo wa magari,nafaham kwamba unahitajika uwe na idea ya autoelectric ili uweze ku-deal na kifaa hiki ila sijaskia ni wapi hutoa mafunzo hayo hivyo nikaona si vibaya kuuliza coz JF kuna wengi hapa.

Na pia ningependa kujuzwa kuhusu hiki kifaa kwa gharama zake huwa kinagharimu kiasi gani kwa bei?,kama kuna mtu anafaham kuhusu suala hilo pia si vibaya akanijulisha kuhusu gharama za kifaa hiko na aina na wapi kinaweza kupatikana pia.

Natanguliza shukran za dhati kwenu na kwa yeyote atakayeweza kutoa msaada juu ya hayo,shukran.
 
Back
Top Bottom