Wadau ninatafuta ofisi za elimu ya watu wazima Morogoro,naomba mwenye kufahamu zilipo ofisi za Elimu ya watu wazima hapa Moro anielekeze ni mtaa gani!ahsanteni
Wadau ninatafuta ofisi za elimu ya watu wazima Morogoro,naomba mwenye kufahamu zilipo ofisi za Elimu ya watu wazima hapa Moro anielekeze ni mtaa gani!ahsanteni.
Nenda Sabasaba jengo la ccm mkoa hapo pia kunakituo cha elimu.