Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sana mkuu,ngoja niwatembelee leo leo..Wamehamia Mwenge karibu na Eneo la Vinyago. shuka Mwenge kituoni njoo mpaka huku wanakouza Vinyago MWenge. Ambaa upande huo kama unaelekea kanisa la Kakobe au kituo kinaitwa Lufungira then utaona jengo la ghorofa lilopakwa rangi ya Bluu utaona Bango lao. Au pita njia ya kwenda kwa Mama Ngoma Hosptali upande wa Kulia kama unatokea MWenge utapaona.