Wamehamia Mwenge karibu na Eneo la Vinyago. shuka Mwenge kituoni njoo mpaka huku wanakouza Vinyago MWenge. Ambaa upande huo kama unaelekea kanisa la Kakobe au kituo kinaitwa Lufungira then utaona jengo la ghorofa lilopakwa rangi ya Bluu utaona Bango lao. Au pita njia ya kwenda kwa Mama Ngoma Hosptali upande wa Kulia kama unatokea MWenge utapaona.