Msaada: Ofisi za NHIF Morogoro Ifakara

shizy

Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
21
Reaction score
0
Habari wakuu?

Kwa wale wenyeji wa Ifakara Morogoro, ningependa kujuzwa ofisi za NHIF zinapatikana? Na kama zipo ni sehemu gani?
 
Mkuu
Ofisi Zinapatikana Mkoani Morogoro
Ukiteremka Msamvu Chukua Daladala Za Kwenda Mjini Telemka Kituo Cha Boma Halafu Uliza Utaonyeshwa
 
naam, ofisi zao zipo, zinapatika Bomani karibu na jengo la halmashaur ya wilaya,kilombero, karibu pia na ofis za elimu, idara ya sekondari. Ukifika uliza watakuonesha
 
naam, ofisi zao zipo, zinapatika Bomani karibu na jengo la halmashaur ya wilaya,kilombero, karibu pia na ofis za elimu, idara ya sekondari. Ukifika uliza watakuonesha

shukran sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…