mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Asante kwa taarifa. Kama kuna mtu mwenye taarifa za uhakika zaidi tafadhali atupie hapa.Walikuwa pale Maktaba,nadhani walihamia Dodoma.
Asante.Wapo dodoma ukiwa sabasaba pale panda gari zinazoenda social halafu shuka utumishi.shida yako itatatuliwa
Kwa Dar es Salaam Ofisi ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ipo Posta jengo la UTUMISHI 'Kivukoni Road'Nimekuwa na tatizo kidogo kuhusiana na mfumo wa ajira portal ie online application. Hapo wameweka namba za msaada kama ukihitaji kuwapigia. Lakini hizi namba huwa aidha hazipatikani kabisa au unaambiwa ziko busy!
Sasa nimeamua kufuatilia ofisini na ndio maana naomba maelekezo kwa anayefahamu mahali ofisi zao zilipo ili nikapate msaada hapo.
mkuu umepata any solution ?Nimekuwa na tatizo kidogo kuhusiana na mfumo wa ajira portal ie online application. Hapo wameweka namba za msaada kama ukihitaji kuwapigia. Lakini hizi namba huwa aidha hazipatikani kabisa au unaambiwa ziko busy!
Sasa nimeamua kufuatilia ofisini na ndio maana naomba maelekezo kwa anayefahamu mahali ofisi zao zilipo ili nikapate msaada hapo.
Nimepata solution na nashukuru sana. Nilienda pale jengo la utumishi Dar kwa kufuiata maelekezo ya kina ya Synonym. Hili jukwaa kwa kweli lina utajiri sana wa ukarimu na kujaliana! Nilipofika pale nilihudumiwa vizuri kabisa!!mkuu umepata any solution ?
Kama amepata atuambie mm pia Nina shida kwelimkuu umepata any solution ?