Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

slyve Ramon

Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
63
Reaction score
33
Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda direct ,Kwa yeyote anaefahamu walipo naomba kuelekezwa tafadhali
 
Makatab kuu Nd ofisi zao kumbe. Maan Mie niliend pale kivukon feri ofiz za utumishi ndan kuna ofis Yao na nikakut wameandik bango Tu kwmb hawapo nimeuliz mule mule nikaambiw wamesafir wote.
Wew nenda pale maktaba kuu pale kuna chuo cha library mule, na wao wapo mule
 
Makatab kuu Nd ofisi zao kumbe. Maan Mie niliend pale kivukon feri ofiz za utumishi ndan kuna ofis Yao na nikakut wameandik bango Tu kwmb hawapo nimeuliz mule mule nikaambiw wamesafir wote.
Yaani wamesafiri wote wakaacha ofisi bila mtu?
Imenikumbusha ya jamaa yangu alienda ofisi za HESLB, alipofika getini walinzi wakamzuia, wakamwambia apige simu, ndio tatizo lake litatatuliwa. Kumbuka jamaa ilibidi aende pale mwenyewe kwa sababu akipiga simu hawapokei, na wakipokea wanampa majibu ya mkato yasiyoridhisha na tatizo lake halitatuliwi.

Ofisi za serikali ni changamoto.
 
Back
Top Bottom